Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Nafuatilia sana kupitia BAE Radar, namuaona PakaJimmy anabishana na Madame B lakini Blaki Womani anamdhibiti kisha ni sehemu gani waende wakele bakurutu la ukweli tehe tehe.
hizi tour zina mengi na hayo mengi tunasubiri kuyasikia kutoka kwenu mlioko huko.
NB:Hatutaki kusikia fulani alilewa akavaa pichu kichwani,fulani amegonganisha wakatwangana chupa and other evil stuffs,Otherwise Almighty God be with you all.
Hi radar from BAE system mbona imeanza kusumbua Mkuu? Najaribu kuilekeza kule chumbani kwa Arushaone na Madame B inazima
Mnaendeleaje?
Tunamkaribisha
Majukumu yamenizd. Nimeshndwa kujitokeza.
Hahahahahaha! AiseeTena mkituondolea huyu Madame B hapa mjini mtakuwa mmetusaidia sana. Ila mjihadhari kama hakuna supu ya pweza wala madafu huko mjue mtakosa mwana na maji ya moto. Mtoto kashindikana mpaka kwa babu yake.:becky::becky::becky:
Tena mkituondolea huyu Madame B hapa mjini mtakuwa mmetusaidia sana. Ila mjihadhari kama hakuna supu ya pweza wala madafu huko mjue mtakosa mwana na maji ya moto. Mtoto kashindikana mpaka kwa babu yake.:becky::becky::becky:
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....
tunakuwekea picha ya bahari.....
Hii thread niliimiss balaa!