Hatimae Madame B kaikana Dar Wing......

Pleta aujambo?
Humepoterea wapi? Au mikono zako zimechoka kubofyabofya?
 
hizi tour zina mengi na hayo mengi tunasubiri kuyasikia kutoka kwenu mlioko huko.
NB:Hatutaki kusikia fulani alilewa akavaa pichu kichwani,fulani amegonganisha wakatwangana chupa and other evil stuffs,Otherwise Almighty God be with you all.

:thumbup: umenena vyema kbs...
 
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....

Ndo kusema mnataka kuvua wing zote...mtuache na bahari isiyo na samaki?

Tuvua nini jamani..Arusha wing tuoneeni huruma
 
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....

Hana lolote huyo, atakuwa anawinda hela za bilionea mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…