Tangazo linahamasisha mateja wasichangie sindano wakati wa kujidunga ili wasiambukizane magonjwa so nadhani mleta mada anahisi ndio wameruhusu kutumia madawa ila wajilinde tu wachangie hizo sindano.
Kama vile wanavyohamasishwa wapenda ngono wakumbuke kutumia kondomu ili kujikinga na STDs