..."labda ajira mpya za walimu zitatoka Aprili Mosi" kutokana na ukosefu wa fedha za malipo kwa ajili ya walimu hao...
Ngumu kumeza Mkuu!!! Lakini ikumbukwe Mukulu alisema 'mapema mwakani', kwa hiyo hata mwezi wa 5 bado itakuwa mapema.
toa taarifa iliyokamilika mkuu
kwann jenister anaongelea vichocholon, kwann asiite media aweke waz! magamba bwana cjui yakoje
NAUNGA MKONO PENDEKEZO,
TUNAKUTANA WAPI?,SAA NGapi na lini?naomba nijuzwe
Nipo kaka, nnaitafakari hii taarifa....................
NAUNGA MKONO PENDEKEZO,
TUNAKUTANA WAPI?,SAA NGapi na lini?naomba nijuzwe
labda mkuu kapitiwa badala ya kusema walimu wataripoti tar 1 march akasema tar 1 april...bado naamini serikali yetu ni sikivu majina yatatoka kat ya 14~20 mwez huu. wala haina haja ya kuandamana utaishia KUPIGWA TU.
Da majanga ndg zanguni, nikafungue mashamba 2 kwa babu, A FATHER, MUFINDI BOY,MLEVYA RASHID, & DZUDZUK , Naomben mnpm namba zenu walau 2we 2kifarjiana
Tanzania my country, abroad here i am, i don't feel back home. Though you are sick. When your health status gets down i will come for your salvations. I will foot your bills because it seems ur people can't do it for you. You raised me up, morrally, spritually, mentally, & phisically. I still love you though i am not there with you. When things become increasingly difficult, please hesitate not, call me. I have yet many good subjects on your land, whom i won't dissapoint. Your leaders are your killer. Don't believe them. I WISH YOU QUICK RECOVERY TANZANIA. Enjoy ur day.
rais ameshatamka kuhusu ajira, majaaliwa nae amenena yake kuhusu ajira, mchome nae hakubaki nyuma nae katoa yake kuhusu ajira, mulugo nae enzi zake alizungumzia suala hilohilo, sasa mama nae kaja na lake kuhusu ajira. Sasa amebaki waziri mwenye dhamana kawambwa nae atoe lake ili tufunge mjadala namsubiri kwa hamu sana!!