Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
Rais wa Uganda amesaini mkataba unaozuia mapenzi ya jinsia moja na vitendo chochezi vya ngono,amepuuzilia mbali
vitisho vya mataifa ya magharibi kusitisha misaada nchini mwake,kasema yuganda ipo tayari kukosa hiyo misaada
lakini homosexuality in Uganda big NO!
Source:BBC.
Wito:Kama mtanznia ningependa sheria hii iwepo Tanzania,badala ya kubaki maneno tu,yasiyo na effect yeyote,
hasa kipindi hiki katiba ya nchi inapotengenezwa.
MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA!