na nambaInaonekana ulinunua kimeo mkuu. Hizo gari sio mbovu kiasi hicho. Inaonekana ilishapata shuruba za kutosha kabla ya kutua mikononi mwako.
Wakati mwingine bodi za gari na maileji zinatudanganya sana kuhusu ubora wa gari
Naona huyajui magari una generalized alphard yenye engine ya mz(3000) ulitaka iwe na engine ya cc elfu ngapi?Alphard sina uzoefu nazo ila migari yenye body kubwa engine za kawaida huwa siziamini to name the few Noah voxy,alphard,Toyota Wish,ISIS au kwa nissan xtrail.
mpya zinauzwa na maroboti???Hakikisha unanunua mpya usimvue mtu
We acha tu.. Port charges ilikuja 4.8M!Bandarini miezi mitano? kwa charge ya bandari hii yetu, au ulihamishia bond warehouse?
Baada ya kuhangaika na Noah voxy ambalo kwa muonekano wa nje linaonekana jipya (pamba) au wanasemaga in mint condition ila ilitaka kunifirisi...
Mkuu sio kwa voxy ugonjwa wa moyoGari ni matengenezo tu. Unaweza ukakuta ulikuwa ulifanyii service ipasavyo mnunuzi akapata fundi mzuri gari likarudi kwenye mstari kabisa.
Gari za wauza maziwa (kwa mapipa)Mimi nataka ninunue noah old model,nafikiri ni nzuri kushinda hizi za kisasa,ushauri wako ni upi mkuu,maana wewe umeshapitia huko