Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Sawa.
Nakukumbusha tu, alikuja Husna TheBosslady kwa mbwembwe kama wewe hatimae aligeuka kuwa Erick Otieno.

Kila la kheri!!!
Bhaccc sawa

Japo kwambaliiiiii inauma kuona nahisiwa hivyo inakosesha aman kwa moyo
 
Hamkawii kuniliza uko nikaanza kuandika Uzi wa kuwalaani
Kila mwanaume na sera zake kama wanasiasa ila pia sio. wanaume wote ni korofi na sio kila mwanasiasa ni muongo.... Ngoja nije pm tuyajenge pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…