hatimae nimejiunga na jukwaa pendwa nchini

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
226
Reaction score
233
baada ya kuhangaika mnoo hatimaye nimejiunga na jamii forums sasa nitaweza kuwasiliana kwa karibu na baadhi ya wanajukwaa niliopata kuvutiwa na thread zao kama mshana jr,gudume,gentamyn, nawasalimu. wana jukwaa wote
 
Karbu Sana uinjoy maisha....
 
Mshana JR tangu aoe imekuwa nongwa
Haonekani kabisa

Mara niliskia ameenda Kongo kukomboa uchawi
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
baada ya kuhangaika mnoo hatimaye nimejiunga na jamii forums sasa nitaweza kuwasiliana kwa karibu na baadhi ya wanajukwaa niliopata kuvutiwa na thread zao kama mshana jr,gudume,gentamyn, nawasalimu. wana jukwaa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…