Hatimae nimejiunga rasmi

karibu sana busara na hekima daima zikuongoze wakati wote unapokuwa jamvini
 
Karibu sana jamvini. Ila hilo jina limenichanganya kidogo kwa kusoma harakaharaka.
 
HILO JINA LINA SABABU, AU KUNA MTU KAKUINSIPAYA HUMU MWENYE JINA LINALOSHAHABIANA NA hILO?
 
uwiiiii - sijui hii ni kweli au vipi nasikia kuna kabila moja kupiga yowe ndio kukaribisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…