Ninatanguliza salamu kwa JF members,
Hivi karibuni nilikuja hapa nikiwa na shida ya kutafuta mwenza wa maisha. Ninashukuru kwani japo vigezo vilionekana kuwa vigumu lakini maombi yalikuwa mengi sana lna pia shuhuli ya kuyascreen na kutoka na ngano safi imekamilika salama, na hatimaye mfalme wa moyo amepatikana. Ninashukuru kwa mwitikio wenu.
Mkubwa! Si umweke wazi tu? Ama ni mpaka kieleweke.
Nazani atakuwa ni RejaoMkubwa! Si umweke wazi tu? Ama ni mpaka kieleweke.
Lol..Bishanga ndiye mtaalamu wa kubeba humu! Mi kisera nimeshafulia!!Nazani atakuwa ni Rejao
Bishanga aliondoka na Eliza wa Tegeta, kama sio wewe nazani atakuwa rais wa wabeba maboksiLol..Bishanga ndiye mtaalamu wa kubeba humu! Mi kisera nimeshafulia!!
Mbona wewe unajitoa? Sidhani kama kuna mdada hapa JF asiyemjua mzee wa sound Kloro aka lawyer!!Bishanga aliondoka na Eliza wa Tegeta, kama sio wewe nazani atakuwa rais wa wabeba maboksi
Mimi CV yangu ilidundishwa kwenye group stage hata raundi ya pili haikupenya.Mbona wewe unajitoa? Sidhani kama kuna mdada hapa JF asiyemjua mzee wa sound Kloro aka lawyer!!
Mmmmh...ngoja nikamuulize husninyo kama haya ya kweli!Mimi CV yangu ilidundishwa kwenye group stage hata raundi ya pili haikupenya.
hehehe halaf rejao bana, husninyo ni shemeji yangu ofishal nekst wik tunasherehekea aniversary ya ushemeji wetu.Mmmmh...ngoja nikamuulize husninyo kama haya ya kweli!
Hongera sana. Kupata barafu wa moyo wako ndani ya wiki tatu sio mchezo. Hope haitayeyuka mapema pia.
Akishirikiana na tanesco vizuri, atakuwa anaiweka kwenye jokofu, anaitoa tu saa ya kupooza moyo wake na kuirudisha
Na huu mgao wa umeme wa mara kwa mara si inaweza kuwa shida kushirikiana na Tanesco?
Mbele ya barafu ya moyo baba? Atawekeza kwenye kajenereta ka The Boss. Tanesco wakibuma tu anajiwashia,lol
Tatizo genereta za Ze Boss zina noise sana. Halafu bei ya mafuta inavyopanda mara kwa mara kajenereta kanawezamshinda.