Hatimae nimeweza kupika chapati

Hatimae nimeweza kupika chapati

Malyakishu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,347
Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri

Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine

1478369401019.png
 
Unamiaka mingap?? Ulikuwa hujui kupika chapati
 
Leo katika harakati za kuandaa chakula cha usiku nmefanikiwa kupika chapati nzuri

Nashukuru kwa michango yenu kwa namna moja au nyingine

View attachment 429766
Mbona kama ramani ya Afrika mashariki?we ke au me?hazijakaa duara chapati inatakiwa kuwa duara,i dont know taste yake lakin muonekano 0,kama ni me ni nzuri lakin kama ni ke jiandae mumeo kwenda kwa mchepuko maana nashangaa nyumban hamfundishwi kupika mnajifundishia huku?
 
Mradi ladha ni tamu ukitaka round shape tafuta football.
 
lol! Hahahahaha Evelyn Salt chapati zake mwanzoni zilikuwa zina muonekano kama huu na mwenyewe akasema mduara kawaachia mamodel ila siku hizi mduara naye anauweza sana. Nadhani nimeeleweka.
Taratibu nitaanza kutengeneza mduara vizuri
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona kama ramani ya Afrika mashariki?we ke au me?hazijakaa duara chapati inatakiwa kuwa duara,i dont know taste yake lakin muonekano 0,kama ni me ni nzuri lakin kama ni ke jiandae mumeo kwenda kwa mchepuko maana nashangaa nyumban hamfundishwi kupika mnajifundishia huku?
Nmejifunza kwakusoma alafu ndiyo nmefanya kwa vitendo sasa
 
Back
Top Bottom