mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Kwa ambayo huwa nayasikia sikutegemea kumuona mpenziwe akiwa ni mvaa sketi.
Hiyo picha hata haioneshi kama ni mpenzi wake its a very very normal picture
Mbona hajiamini??
ameandika wapi kuwa ni mtu wake?
'Sceptics'Kuomba kupiga na mtu picha ni jambo la kawaida, jambo baya ni kuitumia kwa maslahi yako.
kwa hiyo unataka alama iwekwe kuonyesha ni mpeziwe wewe kweli naanza kuamini elimu yako ni ndogo sana.Nini kwenye hiyo picha kinasema huyo mdada ni mpenziwe?
Hizo emoji?
Huu ni udhaifu mkubwa sana,ipo siku watu watazusha hana nyeti...Mbona hajiamini?? Mimi hizi reaction zake ndio zinanifanyage kiasi fulani niamini labda hizi tuhuma zina kijiukweli Fulani..
Yani akiambiwaga tu anapu**liwa anapaniki anaanza kurusha vipicha na videmu..
Kipindi kile Nay wa mitego kamchana jamaa alipaniki akatoa bonge la povu alafu akaweka video na kale kademu kazungu sijui halfcast..
Baada ya lile timbwili kutulia hatujaona picha nyingine zozote na yule demu..
Sasa hivi tuhuma zimeanza upya, jamaa ameanza tena vipicha vyake na videmu!! [emoji23] [emoji23]
Kama tuhuma hazina ukweli why anahangaika sana kuprove ni "mzima"??
hivi jamani kwani mtu akipiga picha na trekta ni lake?!