Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

Halafu wanaume wengi ndio wanaotamani yasemwayo yawe kweli sijui ni wivu ili wabaki wanaume wao wenyewe.
 
Marehemu Ndanda Kosovo alipiga picha na mzungu wa UDSM. Magazeti ya Shogongo yakaripoti ukurasa wa mbele kabisa kwamba ni mpenzi wake. Mzungu alikuja juu nusura amtoe meno ya mbele Ndanda Kosovo. Mkiona picha sio lazima muitengenezee story.
I mean...hiyo ni picha tu lakini hizo tafsiri zake sasa.....mweh!

Kila mtu anakuja na conclusions zake.

What the hell....
 
This is all FAKE and staged because they are busted in that FAKE robbery. They both are trying to make it like he's going crazy for an excuse to try and not get in trouble when it all comes out.
 
huyo ndiye anamtafutia wazungu wanaume wa kumpumulia...in short huyo demu ni dlali wa mabasha
 
Naomba kujua hilo begi ni la nani? kama ni la Ommy hiyo rangi wataalamu wanajua inatumika na watu gani
 
Hizo kashfa za kua jamaa sio ridhiki nimeanza kuziskia kitambo sana, na kwa jinsi nnavyojua wabongo wakianza kuongea kitu ujue sio bure. Wabongo huwa ni wambea, ila wengi sio waongo
 
Hizo kashfa za kua jamaa sio ridhiki nimeanza kuziskia kitambo sana, na kwa jinsi nnavyojua wabongo wakianza kuongea kitu ujue sio bure. Wabongo huwa ni wambea, ila wengi sio waongo
Hata Diamond walisema hawezi kuzalisha.....

Ni kweli hawezi?
 
Maskini huyu kijana sidhani kama yu salama!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…