Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
It's all bullshit hearsay.1. Kwani nani kasema huyo ni mpnz wake??
2. Nani kasema kwmb kaiweka ili kuwaonesha watu waone "kisa tu" wanasema hapigi mechi..??
3. Tutajuaje kma ni maneno ya watu ndo yamefanya aweke hapo hyo picha..??
4. Wat if akiwa ni fan wake..??
5. Mwenye uhakika kma hapigi mechi ni nani..??? Au ni "hearsay"..??
huyu sasa amekuwa mjinga hivi ana jaribu kuthibitisha nini?
Elton john mke wa mtu huyo mumewe anaitwa David furnishTufanye ndo kweli.....KWAN HILTON JOHN HANA MKE?!!!!!🙂-)🙂🙂🙂
Hana uwezo wa kukomesha labda kujikomeshaHahahaaaaaa kawakomeshaje wambea wa mtaa wa pili?
Picha tu comment yako baki nayo kama ni bomu likuue mwenyewe.
Ila simuungi mkono katika hilo,angeendelea kuwa yeye kama yeye na sio kuweka picha akiwa na mpenziwe (kama ndiye) kisa watu wanasema.
No matter what,ni vizuri kubaki wewe,na sio wewe wa kutengenezwa na maneno ya watu.
Period
Povu.Mbona hajiamini?? Mimi hizi reaction zake ndio zinanifanyage kiasi fulani niamini labda hizi tuhuma zina kijiukweli Fulani..
Yani akiambiwaga tu anapu**liwa anapaniki anaanza kurusha vipicha na videmu..
Kipindi kile Nay wa mitego kamchana jamaa alipaniki akatoa bonge la povu alafu akaweka video na kale kademu kazungu sijui halfcast..
Baada ya lile timbwili kutulia hatujaona picha nyingine zozote na yule demu..
Sasa hivi tuhuma zimeanza upya, jamaa ameanza tena vipicha vyake na videmu!! [emoji23] [emoji23]
Kama tuhuma hazina ukweli why anahangaika sana kuprove ni "mzima"??
Siku nyingine Ficha upumbavu wako.hivi jamani kwani mtu akipiga picha na trekta ni lake?!
hisia kali zetu zimehisi hivyo kua ni shemelaaNini kwenye hiyo picha kinasema huyo mdada ni mpenziwe?
Hizo emoji?
hisia kali zetu zimehisi hivyo kua ni shemelaa
hamna mkuu yaan yan sisi apa sisi hii ndio kaz yetu,tupo mtaan zaid ya miaka kumi yaan hisia zetu kali yaan zikihisi tu bas imoo yaanCool beans.
Sina tatizo na hisia na ukizijua kuwa ni hisia.
Lakini unapokuwa hujui kuwa hisia zako ni hisia na kuziona kuwa ndo 'facts', then we have a beef.
hamna mkuu yaan yan sisi apa sisi hii ndio kaz yetu,tupo mtaan zaid ya miaka kumi yaan hisia zetu kali yaan zikihisi tu bas imoo yaan
hata wewe ukipita na mkeo tukiwachekiiiiiii mnavyotembea mnavyongea tunajua tu maisha ya ndoa kama furaha au huzun umeona bwana kwa gan hii ndio kaz yetu yaaan
kama bwana huyu yaan yaaan watu sio sisi watu walidai jamaa mjegeja wake yaan hausimami yaan yaan kifupi jamaa asimamish umeona bwana sasa sababu si ndio kaz yetu yaan kua na hisia kali ili kujua mambo kwa haraka ukawazaa huyu mbona show anafanya anapata mahela alafu handsome eeeh bwana pamba anapigaaaaaaaa gari kaliiii wenyeww wanaita mkoko watoto mjini sasa tukasema aaah sasa mbona shem hatumjui tatizo nini
sasa huyu mbona kwenye magoma labda jolly masai bar kimboka sokota mvona mbonaaa haonekan hutu vipiiiiiii umeona bwana sasa ndio kamuwwka huyo hapo kuua so sasa uongo na ukweli utajulikana kama braza huyo anapiga mambo au hapigi
Huu ni udhaifu mkubwa sana,ipo siku watu watazusha hana nyeti...
Sijui ataweka picha ya nyeti zake?
Nashangaa watu wanasema hakuna uhakika wa kama huyo ni mwanamke wake, tokea lini Ommy akaweka picha akiwa na mwanamke Instagram?
Hili ni jibu kwa wanaomsema anapumuliwa.
Fine tuseme sio mwanamke wake kweli,bado haiondoi maana ya kwamba kawajibu wanaomtuhumu...
Kinachomatter hapa ni response...
Ambayo ndilo kosa lenyewe.