Hatimae swali la "who are you?" limejibiwa, kupitia Thadei Kweka huko Moshi na Nicolas Maduro kule Venezuela. Kuna swali jingine?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Kwa muda fulani nimekuwa nikisubiri kwa hamu ili nione jibu kwa swali lililoulizwa hivi kribuni, "who are you?" Nilijua kuna siku jibu litatolewa tu. Na hatimae jibu limetolewa, kama vile tu yale maswali ya kuchagua, multiple choice

Who are you?
a) The star actor in the Thadei Kweka Moshi show
b) The lead actor in the Nicolas Maduro Venezuela episode
c) Both a and b above are correct

Hapo ni wewe kuchagua jibu!
 
Siku Marekani ikianguka Madikteta yatachipua kama uyoga. Pamoja na mapungufu yake ila amesaidia sana kuyacontrol haya madikteta uchwara, vingenevyo tungenyooka.

Imagine Iran ndo anakuwa Super Power. Wewe?!
 
Hii ndo Marekani tunayoitaka. Tena waje haraka kuwashughulikia hawa wahuni Samuya na ccm yake.
 
Mpaka sasa maliwato yamegomea kupokea mzigo.

Pampas zisaidie😀😀
 
Ndege za kivita zilisikika huko Venezuela zikilia nywi nywi, nywi, na makombora yakilia nywi! nywi!
 
Lumumba ya watekaji, wauaji, watekaji, wabakaji na wafiraji jiandaeni muda wenu umekaribia.
 
Tanzagiza: Who are you

USA: If you don't know, now you know

😂
 
Kwa hizi mbio anazofanya bado kidogo sana ataanguka
 

Attachments

  • 1767530197096.png
    522.7 KB · Views: 20
Trump hana muda na shitholes
Aende huku alikojibiwa masaa chache yaliyopita

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…