Hatimae Telecom Italia, kampuni namba moja ya simu Italia imeiondoa Huawei kwenye uzinduzi wa 5G yake

Hatimae Telecom Italia, kampuni namba moja ya simu Italia imeiondoa Huawei kwenye uzinduzi wa 5G yake

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Jana zilitoka habari za ndani au chini ya kapeti kua nchi ya Italia inafikiria kuitenga Huawei kwenye mfumo wake wa mtandao wa 5G.

Juzi pia zilitoka habari kua Marekani inaishinikiza Brazil kutafta kampuni nyingine nje ya Huawei kuunda mfumo wake wa taknolojia ya 5G na Marekani akaahidi yuko tayari kugharamia mpango huo kama tu Brazil wataachana na Huawei.

Leo habari za siri zimekua wazi kua kampuni namba moja ya mawasiliano nchini Italia na Brazil maarufu kama TIM au Telecom Italia imeiondoa Huawei kwenye kushiriki kwenye mchakato wa kutengeneza 5G nchini Italia na Brazil.

Italia inahaha kulinda uchumi wake ambao umeathiriwa vibaya na corona na bidhaa zake za mvinyo zenye soko kubwa nchini Marekani.

Marekani anaahidi nchi yoyote itakayokubaliana na mapendekezo yake ya kuachana na 5G ya Huawei itapata upendeleo wa bidhaa zake kwenye soko la Marekani.

Exclusive: TIM excludes Huawei from 5G core equipment tender in Italy, Brazil

===
Telecom Italia (TIM) (TLIT.MI) has excluded China’s Huawei Technologies from a tender for 5G equipment for the core network it is preparing to build in Italy and Brasil, two sources familiar with the matter said on Thursday.

The list of invited suppliers comprises Cisco (CSCO.O), Ericsson (ERICb.ST), Nokia (NOKIA.HE), Mavenir and Affirmed Networks, a company recently acquired by Microsoft (MSFT.O), one of the two sources said.

Representatives for Huawei in Italy and Brazil declined to comment.

The move comes amid reports that Italy is considering whether to exclude Huawei from building its 5G network over concerns it could open the way for China to spy on key Western telecoms infrastructure.

Huawei on Thursday defended its record as a private sector infrastructure group and said “the security and development of digital Italy should be based on an approach grounded in facts and not baseless allegations.”

The U.S. government has urged its allies to exclude the Chinese telecoms giant from the West’s next-generation communications.

The United Kingdom will publish this month a government update on the Chinese company after granting it only a limited role in building Britain’s 5G network.

The head of French cybersecurity agency ANSSI ruled out a total ban on Huawei equipment for 5G networks in a newspaper interview on Sunday, but said French telcos were being encouraged to avoid switching to the Chinese company.

Huawei has played no part in the building of TIM’s existing core network in Italy, while the exclusion could mark a change of course for TIM in Brazil, where Huawei has supplied 4G equipment for the core network of the Italian group’s local unit TIM Participacoes (TIMP3.SA).

So-called core networks are where sensitive data is processed.

Huawei has successfully conducted 5G tests with all of Brazil’s major carriers including TIM Brasil and is helping them modernize their infrastructure ahead of a 5G spectrum auction.

A person with knowledge of TIM Participacoes’ plans said another tender for purchasing 5G gear is likely to be carried out in Brazil once the new frequencies are auctioned by the government, which is expected to happen next year.

“When the auction for the purchase of 5G equipment takes place in Brazil, prices guaranteed to Italy by suppliers there will serve as a ceiling reference above which TIM Brasil will not buy,” the source said, adding Huawei could still participate in the second tender if President Jair Bolsonaro’s administration allows it.

The Brazilian leader, a former army captain and close ally of U.S. President Donald Trump, said last month that 5G deployment would have to meet national sovereignty, information and data security requirements.

A Huawei executive this week warned that Brazil could suffer years of delay in deploying 5G network and higher costs if it succumbed to U.S. pressure to snub the Chinese supplier.
 
Hapo Huawei wamekuwa exluded kwenye Core Network which is common practice kwa nchi za magharibi...kuna chance wakashirikishwa kwenye upande wa Access Network (Base stations, IDU, ODU) na hata transmission network (DWDM, Microwave, Backhaul & Front haul etc) ambapo ndipo kwenye mpunga mwingi.

Hata Vodafone na EE kule UK ndicho wanachokifanya....Kwa kifupi,Core Network ni kama ubongo wa network nzima ambapo mambo vitu kama taarifa za wateja ndipo zinaifadhiwa, hivyo kwa sababu za kiusalama, nchi za ki magharibi huwa zinahofia kuwapa wachina.

Access Network ndio ile minara tunayoiona mitaani ambayo inawezesha wateja kuunganishwa na mawasiliano, transmission network ni kama bomba la kusafirisha mawasiliano kutoka point moja kwenda nyingine.
 
Nini sababu ya wachina na HAUWEI yao kulazimisha 5G nchi za wenzao, kwanini wasifanye huko huko China mbona pakubwa tu na panawatosha?!
Inaonyesha wenzao hawawataki, waje kwetu tuwape TTCL na hata TCRA wachukue tu who cares ni marafiki zetu, chetu chao.
 
Mmarekani anaumia sana kupigwa bao na mchina,,,

Kuna watu hapa hawajui mambo China bado hajaipita Marekani lakini kusema ukweli ndiko alikokuwa anaelekea. China ni kama boat ambayo imepata kasi ya kuvuka mto ila kabla haujavuka ikasahau kuwa kinachoofanya hiyo speed ya injini iwe na kasi ni turbo iliyo ndani yake. Sasa kaanza kuichezea hiyo turbo wakati hajavuka, kitakachotokea ni speed kupungua na kwa bahati mbaya zaidi ingine inaweza ikanock kwa sababu haina support ya turbo na hatimaye izame.

Turbo yake ni Mmarekani kwa nini alikuwa anaiba technolojia yake huko, soko lake liko huko Marekani n. k

Sasa anachokifanya Mmarekani ni kumaliza soko lake kwa wamarekani liwe 0, pili soko la Ulaya liwe 0 Soko la America ya kusini na Kaskazin liwe 0, soko la Australia tayari Mmarekani ameshawishi amefaulu, ukienda Asia Japan, South Korea, India, n.k wameshashawishika.

Sasa kwa wanaoangalia mbali hiyo boat ya mchina haiwezi kuvuka mto. Na hakuna nyota nyeusi Mchina ataacha kuiona
 
Kuna watu hapa hawajui mambo China bado hajaipita Marekani lakini kusema ukweli ndiko alikokuwa anaelekea. China ni kama boat ambayo imepata kasi ya kuvuka mto ila kabla haujavuka ikasahau kuwa kinachoofanya hiyo speed ya injini iwe na kasi ni turbo iliyo ndani yake. Sasa kaanza kuichezea hiyo turbo wakati hajavuka, kitakachotokea ni speed kupungua na kwa bahati mbaya zaidi ingine inaweza ikanock kwa sababu haina support ya turbo na hatimaye izame.

Turbo yake ni Mmarekani kwa nini alikuwa anaiba technolojia yake huko, soko lake liko huko Marekani n. k

Sasa anachokifanya Mmarekani ni kumaliza soko lake kwa wamarekani liwe 0, pili soko la Ulaya liwe 0 Soko la America ya kusini na Kaskazin liwe 0, soko la Australia tayari Mmarekani ameshawishi amefaulu, ukienda Asia Japan, South Korea, India, n.k wameshashawishika.

Sasa kwa wanaoangalia mbali hiyo boat ya mchina haiwezi kuvuka mto. Na hakuna nyota nyeusi Mchina ataacha kuiona
Na hili ndio Elites wanampa Trump.miaka mingine 5 na ndio maana hata democratic wanacheza na minds za watu kuweka weak candidate kama Biden wakijua kabisa hawez simama na Trump nia ikiwa ni Trump aweze inyoosha China....mwenyewe anakwambia" we have gat all options on the table......angalia hio sentes kwa jicho la 3
 
duh china lazima aporomoke tu kiuchumi in 5yrs to come

baba anapambana kumshusha


Yani nyie viumbe wa ajabu sana, mnatamani aporomoke kiuchumi, ila tambua kuwa akiporomoka hata ninyi waswahili mtaumia pia na sio marekani na ulaya tu.
 
Yani nyie viumbe wa ajabu sana, mnatamani aporomoke kiuchumi, ila tambua kuwa akiporomoka hata ninyi waswahili mtaumia pia na sio marekani na ulaya tu.
wapi nimeandika natamani ashushwe we kunguni

You spit dark words as if you can split me, total failure
 
Back
Top Bottom