mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
TFF ni jumuiya ya CCM toka Msomali apate u Rais.Wadau nadhani yaliyotokea Misri kwa Timu ya Taifa sote ni Mashahidi.Timu imecheza mechi 3 ,imefungwa jumla ya magoli 8-2 na kuwa ya mwisho ktk kundi lake na kisha kutupwa nje ya mashindano raundi ya kwanza.Kocha Amunike tayari kajitetea kuwa ni kukosa uzoefu.Wadau tulisema mapema mara baada ya timu kufuzu Afcon kuwa mazoezi ya kuwajengea uwezo na uzoefu wachezaji yaanze lakini TFF haikutaka matokeo yake ikapeleka timu Misri siku 10 kabla eti ikafanye mazoezi hakika TFF imevuna ilichopanda.Watanzania tuache siasa kwenye mpira, ndio maana hata FIFA haitaki siasa eti Taifa Stars ni timu ya CCM,eti inatekeleza Ilani ya CCM.
Kama TFF yenyewe inaongozwa na kada mtifuu wa CCM, unategemea Kiria atakuwa na akili timamu ya kuongoza TFF.Wadau nadhani yaliyotokea Misri kwa Timu ya Taifa sote ni Mashahidi.Timu imecheza mechi 3 ,imefungwa jumla ya magoli 8-2 na kuwa ya mwisho ktk kundi lake na kisha kutupwa nje ya mashindano raundi ya kwanza.Kocha Amunike tayari kajitetea kuwa ni kukosa uzoefu.Wadau tulisema mapema mara baada ya timu kufuzu Afcon kuwa mazoezi ya kuwajengea uwezo na uzoefu wachezaji yaanze lakini TFF haikutaka matokeo yake ikapeleka timu Misri siku 10 kabla eti ikafanye mazoezi hakika TFF imevuna ilichopanda.Watanzania tuache siasa kwenye mpira, ndio maana hata FIFA haitaki siasa eti Taifa Stars ni timu ya CCM,eti inatekeleza Ilani ya CCM.
Hii lugha inatumiwa sana na CCM,mbeleni lini?Mwanzo mgumu huko mbeleni tutafanya vizuri
Wadau nadhani yaliyotokea Misri kwa Timu ya Taifa sote ni Mashahidi.Timu imecheza mechi 3 ,imefungwa jumla ya magoli 8-2 na kuwa ya mwisho ktk kundi lake na kisha kutupwa nje ya mashindano raundi ya kwanza.Kocha Amunike tayari kajitetea kuwa ni kukosa uzoefu.Wadau tulisema mapema mara baada ya timu kufuzu Afcon kuwa mazoezi ya kuwajengea uwezo na uzoefu wachezaji yaanze lakini TFF haikutaka matokeo yake ikapeleka timu Misri siku 10 kabla eti ikafanye mazoezi hakika TFF imevuna ilichopanda.Watanzania tuache siasa kwenye mpira, ndio maana hata FIFA haitaki siasa eti Taifa Stars ni timu ya CCM,eti inatekeleza Ilani ya CCM.
Michuano ijayo tutafanya vizuri inshaallah! Tuombe UzimaHii lugha inatumiwa sana na CCM,mbeleni lini?