Mie ata sijaelewaaHi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
Mkuu kwa mujibu wa maelezo yako hapo ni kwamba milion 60 iwe imerudi ndani ya mwaka ina maana kila mwezi uwe unarudisha milion 60 sasa kwa biashara ya tata ina uwezo wa kuleta walau milion 6 kwa mwezi maana tano yao, moja kwa ajili yako posho za madereva bado hatujazungumzia mafuta unaweza kunisaidia kwenye hilo.Me muhindi alinipigia simu akanialika ofisini kwake kufika akanipa ofa za mikopo ya magari TATA aliniambia cash ni 95m ila mkopo ni 105m yaani natoa kianzio 35m then hiyo milioni 60 inayobaki nalipa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 yaani mwaka mmoja. Na uzuri mambo ya service ni juu yao. Niliipenda Sana hiyo ishu ila nilisita kutokana na kuyumba kwa biashara nyingi wakati huu
mkuu kwa mujibu wa maelezo yako hapo ni kwamba milion 60 iwe imerudi ndani ya mwaka inamaana kila mwezi uwe unarudisha milion 60 sasa kwa biashara ya tata inauwezo wa kuleta walau milion 6 kwa mwezi maana tano yao, moja kwa ajili yako posho za madereva bado hatujazungumzia mafuta unaweza kunisaidia kwenye hilo
Soma post Kwa umakini cha kuongezea posho ni kidogo tu Kwa tingo mafundi tumedhibiti wenyewemkuu kwa mujibu wa maelezo yako hapo ni kwamba milion 60 iwe imerudi ndani ya mwaka inamaana kila mwezi uwe unarudisha milion 60 sasa kwa biashara ya tata inauwezo wa kuleta walau milion 6 kwa mwezi maana tano yao, moja kwa ajili yako posho za madereva bado hatujazungumzia mafuta unaweza kunisaidia kwenye hilo
Ukipata route ya mkoa to mkoa zinalaza laki Tatu ukitoa gharamamkuu kwa mujibu wa maelezo yako hapo ni kwamba milion 60 iwe imerudi ndani ya mwaka inamaana kila mwezi uwe unarudisha milion 60 sasa kwa biashara ya tata inauwezo wa kuleta walau milion 6 kwa mwezi maana tano yao, moja kwa ajili yako posho za madereva bado hatujazungumzia mafuta unaweza kunisaidia kwenye hilo
Tusaidie namba ya huyo mhindi na sisi tumuibukie. ThanksSoma post Kwa umakini cha kuongezea posho ni kidogo tu Kwa tingo mafundi tumedhibiti wenyewe
inamaana ulikuwa unamlipa mil 5 kila mwezi, iyo gari ilikuwa inafanya routes za wapi hadi kukusanya mil 5 kwa mweziMe muhindi alinipigia simu akanialika ofisini kwake kufika akanipa ofa za mikopo ya magari TATA aliniambia cash ni 95m ila mkopo ni 105m yaani natoa kianzio 35m then hiyo milioni 60 inayobaki nalipa kila mwezi kwa muda wa miezi 12 yaani mwaka mmoja. Na uzuri mambo ya service ni juu yao. Niliipenda Sana hiyo ishu ila nilisita kutokana na kuyumba kwa biashara nyingi wakati huu
Furaha ya aina hiyo ilitakiwa mtafute nyumba inayowahusu ya ibada mkaitoa,kwa pombe na kuku haikawii kula mzinga asbh mkaanza kilioHi great thinkers. Leo Nina furaha isiyo na kifani tumekamilisha marejesho Kwa Mhindi.Mwaka 2017 January Mimi kaka na Dada yetu tumekamilisha marejesho leo asubuhi Kwa muhindi.
Hatimae gari imekuwa yetu rasmi bado ipo katika hali nzuri leo inapata service Kwa mchaga kesho tuanze kusanya zetu.Hapa tupo Kiwangwa kuku anachomeka ndizi mkaango castle kopo za kutosha zinamiminika makooni.
Nawaasa msiogope mikopo jamani tupige maisha ukiwa na plan nzuri unatusua.
Acha mawazo ya kitumwaFuraha ya aina hiyo ilitakiwa mtafute nyumba inayowahusu ya ibada mkaitoa,kwa pombe na kuku haikawii kula mzinga asbh mkaanza kilio
vijana wote tunaotafuta kutoka hapa panatuhusu kusikiliza kwa makini na kuelewa.Pokea pongezi zangu za dhati kwa hatua uliyopiga kiongozi.
Mkuu mie nna maswali kadhaa ningependa kusikia mawili matatu kutoka kwako
1. Hiyo gari ilikuwa Tata marcopolo, Tata Starbus au Tipper?
2.Je, mkopo wa hiyo gari ulikuwa na thamani gani? Ulikuwa wa muda gani?
3.Ulitumia utaratibu gani kufanya marejesho, kwa wiki au mwezi?
4.Ulikutana na changamoto zipi wakati hujamaliza marejesho ya mkopo?
Mwisho kabisa ungependa kuwashauri nini wale ambao wangependa kumiliki gari mpya aina ya TATA kwa njia ya mkopo?
Inshu cyo Botega Gold wines, inshu na hoja ni "habari picha" kwanza picha haioneshi km imepigwa hv karibuni na hilo wala haiitaji PHD kung'amua hilo, sasa kwann unataka kunasibisha habari na picha et mnajipongeza, au mlianza kujipongeza mwaka juzi ndio mkakopa TATA....maaana picha ya kihenga. Pili vyakula hvo mkuu lkn kwa ushauri tu habari yako at ungeiacha hvhvo kidgo ingefaa mada ilikuwa haiitaji "habari picha" maana kula ungekula hata kama ungefeli mkopo kwa mhindi.Tatizo ushamba Botega Gold red wines zipo hapa bongo umezoea misukari yako inayokuchachisha domo unaleta ujuaji pita kimya kimya kama hujavutiwa na thread yangu kabla sijakuhifadhi ktk teknolojia[emoji35]
Asante nakupa nyota tano Kwa comment yako nzuri[emoji93] [emoji93] [emoji93] [emoji93] [emoji93]Hapa ndounapopima akiri zetu. .......mtu kaweka ujumbe wa kuelimusha eli tujifunze jinsi ya kukopa ila wengi macho nakiri zinakimbilia vyakula alivyo download nakumshambulia vile vyakula in icon ya sherehe tu....ndomaana katika gazeti tunaangaliaga picha tu......elimu duni (eti bure)
kaleta mada nzuri sana hongera sana ku tuhabarisha nakutuhamasisha.