Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
hivi jamani hii nchi ina Rais kweli hii au tupo tupo tu
yupo,,,,ila ameenda likizo,,,,akiludi mambo safi
yale yale ya faceboo...jf itaanza kunikea muda si mwingi
Vijana mie nawaunga mkono. Hebu iaibisheni serikali yenu isiyojali elimu kama kipaumbele chake. Kama mmeandamana kwenda kwa waziri Mulugo na kawapa majibu ya kipuuzi kama yale basi nendeni embassy ya US na mabango "MUSITUNUNULIE VYANDARUA TUPENI HIYO PESA TUSOME TUTENGENEZE WENYEWE"
jambo hilo litawatia aibu na watafanya wawezalo kuficha aibu hiyo nanyi mtapata ahueni na mtasoma. Serikali kama hizi mkizichekea mtakwenda na maji maana umri hausubiri mtu. Au mnataka kesho na keshokutwa kuwa vibarua wa watoto wa vigogo?
ITS NOW OR NEVER. DO IT

Unaakili sana,,,,,Tanzania,,mpaka siku tuchapane kwanza ndio tutaeshimianaaaaa
wanafunzi waliokosa mkopo wameamua kwenda kuomba nchi za nje, tumeamua kuanzia Marekani; tutaenda Uingereza na nchi nyingine tajiri