Hatimae Yanga yanasababisha kifaa

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
2,452
Reaction score
2,197


Ofisi ya katibu mkuu wa Yanga ni kama stoo wanaojiita wa kimataifa hata kabati la kuwekea makombe hawana simba walilalamika kombe la FA walipewa limechubuka ebu angalia picha ofisi ina kiti kimoja mchezaji kakaa bosi kasimäma
 
Duh, kabati ya kuwekea vikombe! Je tukiweka vikombe kabatini nyie mtaweka nn kabatin??
 
Kabati la Yanga limejaa Vikombe vya ubingwa ndio maana hiyo limeshindwa kuingia huku Kabati la mikia likiwa limejaa Rufaa za TFF na FIFA.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Yanga inazidiwa vikombe na simba na simba Yanga unaizidi simba vikombe vya ligi kuu tu simba unazidi Yanga Kagame.tasker.mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…