Hatimaye Ajira mpya walimu wenye shahada haya hapa


Ntakomaa nije hapo mkuu ili twende sawa,vp wanatoa accomodation?
 

nimeipenda hii! Unakuta mnashare meza moja.
 
Wishin al za best, waalimu wote mnaoanza kazi na maisha ya kujitegemea. Maisha kokote, wengine 2mejeruiwa na serikali ya JK
 
Wishin al za best, waalimu wote mnaoanza kazi na maisha ya kujitegemea. Maisha kokote, wengine 2mejeruiwa na serikali ya JK

Asante mkuu nanyi tunawatakia kila la kheri kwa lolote mnalolihitaji
 
Mimi ni mwalimu tangu 95. Niko mkoa wa Kigoma. Nimejenga Bungaloo n I have everything I need including dstv.
Ninachomaanisha ni kuwa, ninawaomba walimu wenzangu tuondokane na kasumba ya kudharau mahali pa kuishi, ila iwe n changamoto ya ku-improve maisha yetu kwa kuyakabili mazingira. Why should we have cowardice inclination towards our life? Determind your life and God will approve it. Karibuni Kigoma, nchi ya maziwa na asali.!
 

Shukrani hope tutakutana hukohuko
 

nimependa mtazamo wako khs maisha. In life is not only about wht you earn bt also planing how to use your income. Watu wanalipwa mamilioni na allowances za kutosha bt they still contend for increaments. Katumieni mazingira yenu vizuri kujiongezea vipato
 
Link katika mtandao wa Wizara ya elimu ya AJIRA MPYA YA WALIMU WA SEKONDARI - SHAHADA 2011/12,kwa nini haifunguki...!Na jana ilikuwa hivihivi au ni ,leo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…