Hatimaye Azam Tv yaishiwa bando la AFCON

Nimekichukia king'amuzi cha azam yaani wametuaminisha kuweka kifurushi kumbe uzushi, amejaza michaneli yake kibao haina hata maana, hivi hakuna mwekezaji awekeze kwenye ving'amuzi hawa azam ni sawa na TBC tu
Sio kwamba bado wanaomboleza msiba wa wafanyakazi wao?....
Karibu dstv, machannel kama yote yanaonesha afcon
 
Matapeli hao karibu dstv
Walitangaza kwa mbwembwe sana na wengi wakanunua vifurushi, ukaja msiba bahati mbaya, msiba umekwisha na sasa kimya hata maelezo hakuna.
Huu ni uongo na utapeli lakini kwakuwa wao ni Azam wataachwa tu.
Wamedanganya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…