Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Wanajamvi hatimaye msanii Rich Mavoko amepata usajili wake kutoka BASATA huku wakimtambua kama msanii asiyechini ya lebo ya WCB. Awali kulikuwa na mkanganyiko wa kimkataba maana WCB walikuwa wakidai mkataba wao na Mavoko bado haujaisha na unamfunga Rich Mavoko
More updates zinakuja
Source:EFM
More updates zinakuja
Source:EFM