Hatimaye BASATA wamtambua Rich Mavoko kama msanii asiye chini ya WCB

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Wanajamvi hatimaye msanii Rich Mavoko amepata usajili wake kutoka BASATA huku wakimtambua kama msanii asiyechini ya lebo ya WCB. Awali kulikuwa na mkanganyiko wa kimkataba maana WCB walikuwa wakidai mkataba wao na Mavoko bado haujaisha na unamfunga Rich Mavoko

More updates zinakuja
Source:EFM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…