brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
TFF kupitia bodi ya Ligi imeomba radhi kutokana na upotoshwaji wa data na kupelekea kuishusha Kagere Sugar isivyo sahihi. Leo mchana akiongea na waandishi wa habari CEO wa bodi ya Ligi Wambura ametangaza Stand United kushuka daraja na Kagera sugar kucheza play off