Pale TFF Kuna watu wamewekana Bila kuzingatia weledi hii inachangia hata ligi kukosa wadhamini maana Brand ya Ligi inachafuka kijinga mnaonekana hamko seriousPumbavu sana hawa TFF, Ujinga wao ni wa kiwango cha kushangaza kila mtu, Aibu iliyoje, Kila mara makosa ya kipumbavu yanatokea kwa mbabe wa Simba - Kagera!!!!
Kwa mtindi huu itakuwa shida Sana kupata wadhamini maana Brand Ni ya hivyo hivyoPumbavu sana hawa TFF, Ujinga wao ni wa kiwango cha kushangaza kila mtu, Aibu iliyoje, Kila mara makosa ya kipumbavu yanatokea kwa mbabe wa Simba - Kagera!!!!
Kwanza ligi inakosaje udhamini na timu zinaridhika na kucheza.Hii ilitosha kuwastaafisha hawa viongozi wote.