Hatimaye Bodi ya Ligi yaishusha Stand utd, Kagera Sugar kucheza Play Off

Duh afadhali, Nilisikitika sana wakali wa simba kushuka daraja.......Pamba mjiandae
 
Mosi: Ni aibu kwa Bodi ya Ligi mnashindwa kuingiza hesabu vizuri na kusababisha mtafaruku kwa Wachezaji na Mashabiki, hakukuwa na haja ya kuharakisha kujaza matokeo mlio na mashaka nayo yawezekana huko nyuma mliisha wahi kuipatia Ubingwa timu isiyo halali au kuishusha timu kimakosa yenu. Jifunzeni mbadilike, mnatia sana hasira na aibu!
(ii) Kamati ya Mashindano ndio Mwamuzi wa Kuipandisha au kuishusha Timu acheni kuingiliana kimajukumu!
(ii) Bodi ya Ligi mlipaswa kumuomba Mshirika wenu Azam TV anaerusha Matangazo kwa kutowaamini na kusababisha mtafaruku ndani ya Jamii ya Wana Kambumbu/Soka!

Mwisho: Heko Kagera Sugar FC haki yenu imepatikana, jiandeni vyema kwa ajili ya Play off naamini mtarejea Ligi Kuu, kila jema kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…