Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kipawa njia ya kwenda uwanja wa ndege karibu na ofisi za TOYOTAMkuu office zao ziko wapi ?
Kodi ina kaaje hapo? au wata katwa wao pindi tuko nunua.Niliona mzee. Naziina 0 Km soon. Hapo si ndio alikua Hyundai?
Hapo kodi TRA kama kawa.Kodi ina kaaje hapo? au wata katwa wao pindi tuko nunua.
Jau jau sanaHapo kodi TRA kama kawa.
Et sio mchoyoHii inaweza tuondolea used cars kama ilivyofanya TECNO kwa Siemens.
Mchina siyo mchoyo ametuondolea vibatari na mafuta ya taa huku vijijini, ametuletea tv za sola n.k.
Naona zipo njian zina kujaMkuu tunaomba pictures za chuma zikiwa zimepack