Hatimaye BYD wafungua dealership Tanzania

Awafundishe na hawa wachina wenzake wenye gereji - ili wajue kuzitengeneza hizo gari.
Wanachofanya sasa hivi BYD ni kufungua dealerships katika nchi mbalimbali duniani

Sasa hivi wameilenga hasa Africa kwenye kufungua dealerships

Lengo ni kuzitangaza, kusogeza huduma kama vipuri ambazo zitaendana na service na mechanic training

Hata mabasi na heavy duty trucks za Kichina zilianza hivyohivyo kuingia Tanzania

Ukitoa China wameshafungua factories Latin America, Ulaya, Asia, Middle East, Marekani na Canada (e-buses & heavy duty trucks)

Bado Africa, nchi ipi itatangulia kuwa na BYD factory?
 
Mchina kaamua kuwasogezea huduma hadi nyumbani.

BYD wameamua kufungua dealership ya vyuma vya umeme Tanzania.

Sasa ni wakati wa kutembelea matako bila kuwazia bei ya mafuta, mchawi Tanesco.
​
Hii ni habari njema sana. Africa inapaswa kushirikiana zaidi na China kiuchumi kuliko nchi nyingine
 
Serikali inapaswa iwavutie hawa jamaa wajenge kiwanda hapa Tanzania
Demand ya magari ni kubwa na ukizingatia kuagiza magari kutoka nje ni gharama sana kutokana na kodi nzito za TRA
Ni heri hii kampuni ijenge kiwanda Tanzania. Watapiga hela sana
 
Mtaweza kununua gari zero kilometer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…