Thanx to God!!!!!!!! Finally tumepata Mbunge jimbo la Ubungo. Tuna mateso makubwa wana kimara suka golani, Mnyika katutee, tunaamini soon tutakuwa na daraja na tutaepuka adha ya kusombwa na maji wakati wa mvua. Walikuwa wanatu-treat kama wanyama lakini tunaamini kwa kushirikiana nasi wananchi wa jimbo lako ukombozi utapatikana. HONGERAAAAAAA!!!!!