Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.

Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.

Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.

Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.

Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Mimi naamini kura milioni tatu za jiji la dar ess salaam zitaenda kwa Lissu milioni mbili,na huku mh Magufuli akiambulia laki nane...gap litaanzia hapo

Kanda ya ziwa mara,kagera,mwanza,simiyu Ni ngoma droo kwa hawa wawili.
 
Sawa kamanda, tukutane tarehe 28/10/2020 nanukuu "mwaka huu ccm inashindana vyama udhaifu haijawahi kutokea"
 
Your browser is not able to display this video.
 
Absolutely rubbish!
 
Sisiemu hana chake kusini ya mitandaoni tu ila nijuacho mimi wale jamaa watatoa kura kwa wingi mno
 
Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
 
Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
Sasa mnaogopa magaidi,zile nguvu za kuwapiga wapinzani zihamishieni kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…