Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Umeeleweka vyema mkuu na hongera sana kwa ufafanuzi mwema
 
Wamevimbiwa hao sawa na chatu
 
Sijui kama mkuu atakuja huko kuomba kura. Nasikitika sana kuona bei ya korosho, ufuta, mbaazi zimeanguka, kwa nini? natamani kuonana naye na kumuuliza mkuu wetu
 
Sijui kama mkuu atakuja huko kuomba kura. Nasikitika sana kuona bei ya korosho, ufuta, mbaazi zimeanguka, kwa nini? natamani kuonana naye na kumuuliza mkuu wetu
Kabla ya mwaka 2017 mazao yoote yalikuwa yanaenda kwa amani na wananchi walikuwa wanaishi maisha ya raha na starehe.

Lkn alipo amua kuingilia vyama vya ushirika ,sasa hivi wakulima woote wanaishi kwa kilio kila kukicha.
 
Huko ni chadema 100% hawa majizi na madikteta ccm hawawezi kupata hata kura moja...
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe hutoamini macho yako pale Magufuli atakapokuwa anaapishwa, na wewe ukipelekwa ubelgiji kuuzwa kama kambale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…