Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Na hao tayari washafanya yao na sasa ni vilio tu

Iko clip u-tube mbunge aliyemaliza muda wake wa maeneo ya huko akihojiwa. Safari hii inasemekana wanazo silaha mzito. Inventory ya mbagala na gongo la mboto baada ya milipuko ile ichunguzwe tena vizuri.
 
Amesalimu amri hata kampeni hatokwenda
 
Hii saccos ndio ishinde Mtwara na Lindi?. Punguani wakubwa, subirini kunyolewa bila maji.
Hivi hii tabia ya kubeza maelfu ya wananchi wenzenu na kujiaminisha ushindi kwa goli la mkono inawasaidiaje kuendelea kuwa madarakani?? Malawi yaja...
 
Ccm ilishafeli kitambo sana
 
CCM kimeshakufa mikoa yote ya kusini.
 
Ngoja nikutoe tongotongo mshamba wewe, Chama Cha Mapinduzi, kina wanachama hai milioni 17, achilia mbali mikakati ikiyopo kwa ajili ya kutafuta kura nyingine nyingi zaidi. Kwa hesabu ya kawaida tu chukua jumla ya wapiga kura wote ambao ni milioni 29,188,347 toa na hiyo nilioni 17Jibu utakalilopata utakuwa , unmejifunza.
 
Mtoa mada kama una zungumza kuusu kusini za mtandaoni yeah upo sahihi sana lakini kama unazungumzia uhalisia pole Sana

Ni ngumu Sana kutoa tathimin ya kuangalia watu mfano mimi sija wahi enda kwenye mkutano wa siasa wa chama chochote ila kula nitapiga na najua Nani na mpigia

Sasa basi Inawezekana wengi wala enda ila wa chache tuu wata piga au ndio wenyewe Wana sifa za kupiga kula

Zingatia

Kuna wapambe na mashabiki alafu Kuna wa piga kula Hawa ndio Wana amua mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…