Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

I
Inafutika lindi na mtwara inaenda ibuka arusha, mbeya na Kilimanjaro!
 
Sasa Mtwara na Lindi wakiikataa CCM na mikoa mingine you're ikaikubali CCM je hali itakuwaje huko kusini?
 
Yani hoja ya kilofa kabisa, iliyosheheni uongo, unafiki, uzandiki na uchonganishi ndani yake. Nani aliyekudanganya CCM imejifuta Mtwara na Lindi? Hivi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatokea Dsm au Kenya? Tuanzie hapa.
Unaifahamu Lindi?!

FYI, hata huyo Kassim Majaliwa mwaka 2015 aliweza kurudi bungeni baada ya Membe kwenda kupiga collabo manake Majaliwa alikataliwa kabisa!

Jirani na Jimbo la Ruagwa ni Mchinga ambako CCM walipigwa chini!!

Liwale CCM walipigwa chini!

Majimbo ya Kilwa CCM walipigwa chini!

Lindi Mjini CCM walitokea dirishani kiasi kwamba hata udiwani, walizidi kwa kiti kimoja tu!

Sasa kama unadhani Majaliwa kutokea Lindi ndo hoja basi unaonesha wazi wala huzijui siasa za Tanzania, na mikoa ya kusini!! Na kwa taarifa yako tu, pale Mchinga ambako CCM walipigwa chini, aliwekwa Said Mtanda ambae ni kijana wa JK!!

Na hayo yalitokea wakati mwana-Lindi mwingine, yaani Membe akiwa bado CCM!!
 
Sasa Mtwara na Lindi wakiikataa CCM na mikoa mingine you're ikaikubali CCM je hali itakuwaje huko kusini?
Mkoa ambao unaikubali ccm ni mmoja tu nao ni Dodoma
 
Hongera sana kwa kufafanua hoja husika. Hao wengine kazi yao ni kupinga bila kuwa na hoja.

Wana Lindi na Mtwara wana jambo lao kwa maslahi ya watoto wao na wajukuu zao wa baadae
 
Jiandaeni kisaikolojia na wakati wenu ni sasa maana safari yenu ya kuwaachia watanzania nchi yao ikiwa salama kwenye mikono salama ya mh Lissu ndiyo imewadia.
 
Umeandika ushudu tu, je umeelewa hoja niliyoijibu mimi? Halafu inabidi ufahamu mtu anakosea njia mara moja tu, ukienda ukirudi ushaijua njia, fahamu hii siasa ni hesabu sasa wewe endelea kukaririshwa na Aunt Li utegemee mambo ndo yatakuwa vilevile.
 
Huwezi na hautoweza kuwa na hoja zaidi ya kutuwekea mipasho ya TOT
 
Jiandaeni kisaikolojia na wakati wenu ni sasa maana safari yenu ya kuwaachia watanzania nchi yao ikiwa salama kwenye mikono salama ya mh Lissu ndiyo imewadia.
Endelea kumshabikia Aunt Li, halafu baada ya Oktoba 28 uende nae ubelgiji mkaolewe wote. Huku Magufuli akiwa anaapishwa kuwa Rais wa JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…