Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Korosho kangomba hawana chao, juxi kati wawekezaji kutoka Marekani wamekuja kuona jinsi watakavyo wekeza. Ni suala la kitambo si kirefu mambo yatakuwa bambam. Ingawaje nasikia kumekuwa na magaidi wanaotaka kutunisha misuli yao huko.
Hao Wamarekani wanakuja October? Mbona kabla hawakuja mkawatuma wanajeshi kwenda kuchukuwa Korosho kwa nguvu bila ya kulipa?
 
Hao Wamarekani wanakuja October? Mbona kabla hawakuja mkawatuma wanajeshi kwenda kuchukuwa Korosho kwa nguvu bila ya kulipa?

Wewe tulia JPM atengeneze mambo kuboresha wakulima wa korosho. Zao lilovurugwa na kutumika kama moja ya njia kuubya kinyonyaji na kudhulimia jasho la wananchi zaidi ya miaka 57 ya uhuru. Unategema uboreshwaji wa mfumo wake uwe rahisi? Itachukuwa muda na kuchangamana na maumivu kiasi kwa walengwa, kabla ya neema.

Hawa Wamarekani walioonesha nia ya kuwekeza Tanzania walikuwa wanunuzi wa korosho ya India. India wanakorosho gani? Kama si hii wabayo wadhulumu Wamatengi kwa kununua kilo ya maua kangomba kwa 100/=. Baada ya JPM kuingilia kati na India kuyumba kuuza korosho, ndipo wameona sasa waje kule India walipokuwa wanatoa korosho na kuwauzia.
 
Aminia kamanda
Wiki Tatu zilzopita walisema wana wanachama 13m kabla ya hapo miezi miwili iliyopita walisema wana wanachama 10m na Jana wanasema wana wanachama 20m! Wamechanganyikiwa hawajui Hata wanaropoka nini!
 
Unajifariji ili siku ipite usiku uingie ulalie kitanda Cha shemeji yako mme wa dada yako.
Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan
 
CCM inakubalika sana huko kusini acha kupotosha.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Nyumbani kwangu Arusha na kaskazini kwa ujumla hawana chao ccm, option iliyobaki ni bao la mkono tu ambalo nalo lina mashaka kwani hata polisi na vidume jeshi la wananchi wameanzisha mgomo wa chini chini wananung'unika, ni cheche moja tu ya moto italipua gesi tarehe 28 October wakijaribu kulinajisi sanduku la kura! Ama karibuni au wakipona sana ICC!
 
Kama hilo wazo linakusaidia kujisikia vizuri, basi endelea nalo. Hata hivyo, ni vizuri pia ukajiandaa kisaikolojia ili matokeo ya uchaguzi yasije yakakusababishia Sudden Cardiac Arrest!
 
Huu ujumbe pelekeni nyumba kwa nyumba huki JF hauwafikii walengwa ambao ni wananchi wa kusini.
 
CCM inakubalika sana huko kusini acha kupotosha.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kusini ya wapi unayoisema wewe?! Labda Ruvuma minus Tunduru lakini sio Lindi na Mtwara!!
 
Kusini ya wapi unayoisema wewe?! Labda Ruvuma minus Tunduru lakini sio Lindi na Mtwara!!
Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..

October 28th wembe upo pale pale ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..

October 28th wembe upo pale pale ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Mkoa wa Lindi una majimbo (8) kama ifuatavyo;
1. Kilwa Kusini na Kaskazini.
2. Mchinga.
3. Lindi Mjini
4. Mtama.
5. Ruangwa.
6. Nachingwea na
7. Liwale.
Kati ya hayo CCM wametumia mbinu za kimafia kupitisha wagombea wa Mtama na Ruangwa bila kupingwa, lakini kwenye hayo majimbo vyama vya Upinzani hasa ACT na CHADEMA wanaenda kuongoza kwenye kata, na ndio hapo utajua kuwa CCM haipendwi lakini imeaaidiwa na Wakurugenzi. Mfano kwa Nape alipata shida sana 2015.

Kwa majimbo 6 yanayobakia yafuatayo yanaenda Upinzani moja kwa moja.
1. Kilwa linaenda kwa Bwege wa ACT.
2. Lindi linaenda kwa Mchinjita wa ACT.
3. Nachingwea linaenda kwa Dr. Mmoto wa CHADEMA.
Na majimbo matatu taliyobakia, ambayo ni ya Kilwa, Mchinga na Liwale yeyote anaweza kuchukua.

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Lindi hapo hamna hata jimbo moja mtaambulia..

October 28th wembe upo pale pale ni USHINDI WA KISHINDO KWA JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ungeanza kujiuliza ni kwanini Jiwe kamtuma Mkwele kwenda Lindi! Na kwa bahati mbaya sana anasahau huyo huyo Mkwele mwaka 2010 alimpeleka kijana wake Jimbo la Mchinga, jamaa akajisahau wakati aliwekwa tu, na ilipofika 2015 akapigwa chini!!
 
Ccm kusini wahesabu maumivu makali
 
Mnajidanganya Sana, Kwan wabeba mizigo wanafika 500 hapo bandarini? Fuckin shit mtashinda mitandaoni tu kusini kijan

Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…