Elections 2010 Hatimaye CHADEMA wapewa kibali cha kufanya mkutano Arusha

...Ndalo, unatoa taarifa ya uongo halafu unaingia mitini. Simamia hoja yako kama walivyosimamia zao akina Mpaka kieleweke na Crashwise. Hii ya kwako haijakaa vyema kwa kweli. Tupunguze mizaha kwenye mambo muhimu na ya msingi kama hili....! Haya, kwa aliye karibu, Kuna jipya???
 
Mkuu wa kutafuta suluhu ni nani maana hao polisi na viongozi wao wote vipofu na waroho wa madaraka tu....
 
sijui kama mkutano utafanyika maana bado wamefunga barabara...Naona polisi wana agiza chipsi wana bahati mimi siyo muuza chipsi ningewawekea sumu k***** zao....
 
sijui kama mkutano utafanyika maana bado wamefunga barabara...Naona polisi wana agiza chipsi wana bahati mimi siyo muuza chipsi ningewawekea sumu k***** zao....

Mkuu punguza Munkari, siku zao zinahesabika. Pole sana
Hakuna kulala hadi kieleweke
 
Jamani wakuu ilinibidi niache ofisi ili niweze kujua nini kinaendelea lakini mpaka sasa hivi ni bilabila Chadema wamenyimwa haki yao ya msingi kuongea na wapiga kura wao! Mungu atatulipa tu.
 
Ndallo,sijui hizi habari unazo leta ni za sangapi Nimekuwa mjini mpaka sasa nane Mchana bado hali ilikuwa tete,Polisi hawataki Mkutano ufanyike,ngoja nirudi tena mjini na uwanja wa nmc ulikuwa umefungwa na polisi lakini wananchi walikuwa wanaendelea kumiminika leo hapatoshi sijui itakuaje.
 
Hivi kwa nini huyu RPC wa Arusah asiuawe? Kuna watu nchi hii hawastahili kuendelea kuvuta pumzi tena.Watu kama Jaji Makame, Kiravu, Zoka, RPC wa Arusha na wengineo, jamani tumechoka, au tuanze kunoa mapanga na mashoka?
 
Mkuu punguza Munkari, siku zao zinahesabika. Pole sana
Hakuna kulala hadi kieleweke

Kula chips polisi hawajapenda! ukweli ni kuwa wana hali mbaya christmas hii nasikii hawajapata msharahara .
 
Hivi kwa nini huyu RPC wa Arusah asiuawe? Kuna watu nchi hii hawastahili kuendelea kuvuta pumzi tena.Watu kama Jaji Makame, Kiravu, Zoka, RPC wa Arusha na wengineo, jamani tumechoka, au tuanze kunoa mapanga na mashoka?
Adui yetu mkuu ni Edward Lowasa na Rostam Aziz hawa akina kiravu, Makame ni watu wadogo sana ni tamaa tu za kijinga....
 
Hivi kwa nini huyu RPC wa Arusah asiuawe? Kuna watu nchi hii hawastahili kuendelea kuvuta pumzi tena.Watu kama Jaji Makame, Kiravu, Zoka, RPC wa Arusha na wengineo, jamani tumechoka, au tuanze kunoa mapanga na mashoka?

Unafikiri hilo ndio suluhisho.................duh!........msituchafulie JF jamaa
 
Wale polisi waliojaa kwenye magari wamepata lunch au Tobia Andengenye amewafungia dry ration? Na wanalinda nini? Kuwa na busara hukuhitaji kwenda shule.

thats why twasema kuwa hizi kazi ni za wale wasokwenda shule. kutumia miguvu miiiingiii kuliko akili lol
 
yaani gharana wanazoingia ni za ajabu sana, sasa jana nasikia walikuwa wanazungusha magari mji mzima bila sababu za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…