Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hii nayo ni siasa? Mod ikiwapendeza ihamishieni hii kitu inakostahili
 
mkuu hii post yako ipo kwenye jukwaa sio sahihi. waombe moderator aweze kuipeleka inakostahili.
 
Uamuzi wao wa kushirikiana na ccm sasa umewatokea puani
 
sasa hii nayo ina fit humu kwenye jukwaa la siasa?
 
Vijana wakiwaza kuchapiwa mzuka wa kuoa unakata

#team_mabachelor
 
Wabunge wa ccm wana umoja sana, nusu ya wahudhuriaji kwenye hiyo harusi walikuwa wabunge, kumbuka masanja alikuwa mtia nia kwenye jimbo lililokuwa la filikunjombe.
 
Si mchungaji huyu jamaa alikua ana bunyua kondoo wake hhh katisha kawapa nyumba? basi list ilikua ndefu poleni kondoo mlio achwa kwa kukosa malisho
Ilikuwa kabla hajamrudia Mungu wake, baada ya kumrudia Mungu ndio akawaacha, akaanza maisha mapya, neno linasema, tazama yakale yamepita ............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…