BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,108
Naweza kukuelewa kidogo mzee mwenzangu kwani kuoa ni kama fashion tu siku hizi, kuchapa na kuchapiwa ni mambo ya kawaidaHapana mzee mwenzangu halikwepeki hilo funga nafsi wanawake wetu ndio hawa hawa sio wa kutoka Jupiter wala Mars
Hakuna namna ni kuomba mungu tu na kuwa na moyo wa uvumilivu vinginevyo segadanse itatuita maana ndio kizazi chetu hiki kama huna kifua unaweza kuua.Naweza kukuelewa kidogo mzee mwenzangu kwani kuoa ni kama fashion tu siku hizi, kuchapa na kuchapiwa ni mambo ya kawaida
Mmmmh,kuwaaga x wako kwa staili ile ni roho ya kiungwana?sio kuwananga???baba mchungaji ana roho ya kiungwana
Hii ndo ile kiingilio Laki Moja??
MaybeYawezekana walikuwa wana maanisha mchango wa harusi minimum kwa couple.