Hatimaye Curfew imemalizika Kenya kimya kimya

Curfew ni gharama sana, halafu siju ninani aliwadanganganya kuwa Corona virus wanakua active usiku pekeeπŸ™‚
Bars and clubs ni hatari Sana in spreading pandemics kwa sababu ya the kind of interaction between revellers utapata umechukua corona na kuipeleka nyumbani kinyume na aliyetoka kazini na kuelekea nyumbani direct.
 
Kenyans should be allowed to mingle and build herd immunity Madeleine Stowe πŸ™‚
 
Mbona nasikia wameongezewa tena 30 days?
Wanalia tu huko kwenye mitandao.
 
Bars and clubs ni hatari Sana in spreading pandemics kwa sababu ya the kind of interaction between revellers utapata umechukua corona na kuipeleka nyumbani kinyume na aliyetoka kazini na kuelekea nyumbani direct.
Mngefunga bar na clubs kama hivyo ndivyo sababu. Si kila anaetembea usiku anaenda bar na clubs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…