Hatimaye Davido amfollow KingKiba Instagram

Duuuh wakati Chibu kashafanya kazi mbili na Davido
Leo mashabiki wa Kiba ni breaking news Davido kumfollow tu Kiba

Wakati Chibu anamjubu na kumpiga madongo Davido atakavyo huku watu wanasherehekea following

Kweli kuna tofauti kati ya msalaba na jumlisha
x na kuzidisha
 
team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo?
 
Najisikia aibu! Yaani Breaking News Davido kum-follow Kiba!!!! Thanks God hili jukwaa ni la Kiswahili, tafadhali ndugu zetu Wakenya msipite kwenye huu uzi manake na nyie mlivyo na shobo, nisingependa hizi aibu zetu mzishuhudie!!

acheni roho mbaya habari ulitaka iwe Davido kumfollow Dimond?...achen kuweweseka..
 
team Kiba ni washamba sana wallah...Davido kawafollow machangu wawili,Matikibokoyao na Dougiemasta sa kumfollow Kiba cha ajabu ni nini hapo?
Mshamba humjua mshamba mwenzie the same tu changu mana huwa wanakutana na kufanya umalaya pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…