sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
na haya maisha yake ya kuunga unga??.π Na mameneja wake wa darasa la saba!! Sawa. labda ndege ya UngoDiamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. πππ
View attachment 1762066View attachment 1762065
kununua private jet ili aonekane tajiri kama ronaldo
ama anampango wa biashara na hiyo ndege
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mtu kutoa ngoma hakuzuii maisha mwingine kuendelea. Huwezi tulia eti kisa ukifanya yako ngoma ya flani hatoenda.Yani hawa jamaa bana wanacho jitaidi nikutuzima ngoma ya harmonize.... Kwaiyo wanaleta mastor mob ili raia wa focus na izi story kwenye mitandao wenyewe wanaita (kiki) pendaneni wasanii wa muziki ili muziki wa Tanzania ufike duniani uko....