Hatimaye Diamond Platnumz na Rayvanny waiomba msamaha BASATA pamoja na Watanzania wote waliowakwaza

Hatimaye Diamond Platnumz na Rayvanny waiomba msamaha BASATA pamoja na Watanzania wote waliowakwaza

Hakuna aliye juu ya sheria



Swali Je! Watasamehewa?

WTF
Screenshot_20181221-171423.png
 
Naseeb abdul aka diamond amekubali yaishe kwa kuomba msamaha basata hapo jana mcheki kwa link iyo akiomba msamaha
 
Tangu mwanzo hawakujua kama mamlaka IPO na ina uwezo wa kumfungia?Ni kama clip ya unafiki fulani wa msamaha.

Je,ameomba msamaha kwa jinsi alivyolikashifu shirika letu la ndege ATCL (pamoja na wafanyakazi wake) kwa kuli-brand image mbaya mbele ya jamii ya Kitanzania na Kimataifa(hili halina uhusiano wowote na kupigwa-ban na BASATA)?
 
Atunge Wimbo Wa Kusifia Juhudi Zinazofanywa Za Kuiletea Maendeleo Tanzania. Aache Kuimba Matusi Kuna Mengi Ya Kuimba. Kuomba Msamaha Kunaondoa Adhabu Iliyokusudiwa. Msamaha Una Nguvu Katika Kubadili Maamuzi
 
Basata hawana ubavu wa kuwakazia wasafi hasa chibu, watafunguliwa soon
 
Back
Top Bottom