Hatimaye Diwani wa Chadema Tunduma, Ayubu Sikagonamo aachiwa kwa dhamana. Amesoteshwa rumande kwa kusingiziwa uhujumu uchumi kwa miezi mingi sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1578328803672.jpg

Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu.

Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh Hakimu Mpangule anayetafuta kupandishwa cheo kwa udi na uvumba.

Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Bali ifahamike kwamba kila aliyehusika na unyama huu atalipwa kwa kadri ya kiasi chake.
 
Hivi ni Diwani wa chadema au diwani wa wananchi eneo husika kupitia tiketi ya Chadema?
 
Nchi ikikosa Misingi ya uongizi kila mtu hujifanyia atakavyo. Anazani kwa kufanya hivyo atamfurahisha Ibilisi mkuu na hatiamae akampa cheo kuwa malaikia wa Ibirisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama madiwani wa chadema wangekuwa madiwani wa wananchi basi kusingekuwa na mikakati ya serikali ya awamu ya 5 kujiapiza kuzikomoa kata zao .
 
View attachment 1314158

Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu.

Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh Hakimu Mpangule anayetafuta kupandishwa cheo kwa udi na uvumba.

Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Bali ifahamike kwamba kila aliyehusika na unyama huu atalipwa kwa kadri ya kiasi chake.
Uhujumu uchumi...[emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Bali ifahamike kwamba kila aliyehusika na unyama huu atalipwa kwa kadri ya kiasi chake. [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120]
View attachment 1314158

Mh Ayubu Sikagonamo ameachiwa kwa dhamana hatimaye. Hongereni sana Chadema Kanda ya Nyasa kwa ushindi huu.

Mh Ayubu Sikagonamo alisingiziwa ujambazi, polisi wakatengeneza filamu ya kuokota silaha nyumbani kwake, baada ya ushahidi kukosekana wakamtengenezea Uhujumu Uchumi kwa kushirikiana na Mh Hakimu Mpangule anayetafuta kupandishwa cheo kwa udi na uvumba.

Hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Bali ifahamike kwamba kila aliyehusika na unyama huu atalipwa kwa kadri ya kiasi chake.

Jr[emoji769]
 
Kama huyo hakimu mnapafahamu anapokaa muuweni. Afe achunwe ngozi na familia yake iteketee yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisheria ni kosa umefanya,siku ukinaswa utasema serikali wabaya.
Anyway endelea kuandika ni uhuru wako,ila wenyewe wanasema hakuna uhuru usio na mipaka.

macson
 
Nchi ikikosa Misingi ya uongizi kila mtu hujifanyia atakavyo. Anazani kwa kufanya hivyo atamfurahisha Ibilisi mkuu na hatiamae akampa cheo kuwa malaikia wa Ibirisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda upo sahihi,ndio maana hata kuandika unaweza kuandika upendavyo,ila siku ukinaswa na polisi utajua kama kuna uongozi.

macson
 
Back
Top Bottom