Haikuishia Hapo
Member
- Jan 13, 2017
- 67
- 49
🙂🙂🙂 Ila kwa yebo yebo lazma achapike tu. ..Tunawashukuru sana kwa upendo mliouonyesha hapo jana,hakika hatukuamini baada ya mpira kuisha na nyie kuondoka taratibu bila kung'oa hata jani uwanjani,wengi tulidhani jana zanzibar vitu vingi vingeng'olewa kuanzia uwanjani.
Uwanja wa amani una viti vya zege, hawakuwa na namna zaidi ya kuwa wapore tu.Tunawashukuru sana kwa upendo mliouonyesha hapo jana,hakika hatukuamini baada ya mpira kuisha na nyie kuondoka taratibu bila kung'oa hata jani uwanjani,wengi tulidhani jana zanzibar vitu vingi vingeng'olewa kuanzia uwanjani.
Ni katika uwanja wa Aman pale Zanzibar hatimaye maombi ya wauza magazeti wa Tanzania (Yanga) kuomba Simba ifungwe ili magazeti yao yaweze kuuzika dua hilo lilifanikiwa hapo jana ........Kwa taaaaaabu sana Mnyama Simba kakubali kuwaachia walau Azam nao washinde kikombe hicho cha Mapinduzi kwa goli moja tu ili iwe afadhari kwa wauza Ice cream hao maana msimu huu hawana chao. ....
Swali je Wauza magazeti, biashara Leo vipi ..?...au bora tungewafunga lamba lamba hapo jana. ..?
Wapore=WapoleUwanja wa amani una viti vya zege, hawakuwa na namna zaidi ya kuwa wapore tu.
Hili linaweza kusaidia kubadiri matokeo?Wapore=Wapole
Bado unapombe kichwan wwNi katika uwanja wa Aman pale Zanzibar hatimaye maombi ya wauza magazeti wa Tanzania (Yanga) kuomba Simba ifungwe ili magazeti yao yaweze kuuzika dua hilo lilifanikiwa hapo jana ........Kwa taaaaaabu sana Mnyama Simba kakubali kuwaachia walau Azam nao washinde kikombe hicho cha Mapinduzi kwa goli moja tu ili iwe afadhari kwa wauza Ice cream hao maana msimu huu hawana chao. ....
Swali je Wauza magazeti, biashara Leo vipi ..?...au bora tungewafunga lamba lamba hapo jana. ..?
Na hawakujiandaa kisaikolojia kwenda na nyundo dongo ulaya lile wasidhani plastic za mvimba macho (mchina )Uwanja wa amani una viti vya zege, hawakuwa na namna zaidi ya kuwa wapore tu.
Pomb@ anawatafuta nyie mnyama gani kafa .? isijekuwa faru John ....Vipi wazee wa 4G dose iliwaingia. ?
SafiiWapore=Wapole
Imekaa vizuri hiyoHongereni AZAM kwa ubingwa...sisi Simba SC ni wana michezo kwa hiyo tumekubali matokeo.