Habari za uhakika ambazo zimelifikia (taifa letu),zinasema kwamba lengo la awali la EWURA kutangaza kushusha bei ya mafuta ya dizeli na petroli ,halikulenga kuwasaidia watanzania,bali ilikuwa kitisho kwa wafanya biashara wa nishati hiyo ambao wamevimbiwa na utajiri waende'wakawaone'.