Mama muuza
Member
- Jan 28, 2014
- 25
- 17
karatu mtungi wa kilo 15 unauzwa shilingi 65,000/- mpaka leo dakika hii
Jamani gesi imeshuka bei kuanzia tarehe 27 January kwa mujibu wa kampuni ya Oryx kutokana na bidhaa hiyo kushuka kwenye soko la dunia baada ya bei kutengemaa. Kumbukeni gesi ilipanda ghafla hapa katikati na kufanya watu washindwe kununua na wengine na sisi tupoteze wateja. Kwa wakazi wa Sinza mori mnakaribishwa sana opposite na Soccer city mjipatie bidhaa kwa bei hii iliyopitishwa na mtapelekewa mpaka nyumbani..
View attachment 135518
Me nilirudi kweny mkaa tabu za nini bhana wakat hela ngumu na gas bei juu wacha nitafakari kujaza ile 15kg yanguAfadhali wameshusha nilikuwa nawazia kurudi kwenye mkaa wa vipimo mpaka mfuko wangu ukae vizuri..
Me nilirudi kweny mkaa tabu za nini bhana wakat hela ngumu na gas bei juu wacha nitafakari kujaza ile 15kg yangu
Mimi nasubiri gesi ya Mtwara bila shaka bei itashuka zaidi.
Usihofu subira yavuta heri, bila shaka miti wanayokata ili kutandaza bomba tutaendelea kuichoma mkaa mpaka hapo kazi ya utandazaji bomba itakapokamilika.Gesi ya Mtwara bado sana kaka yangu sayansi yake ya kuiweka na kuigandamiza kwenye mtungi ni very expensive na risk vile vile kwa usalama. Hivyo itabidi tu usuburi bomba likufikie nyumbani ambayo hiyo sijui itakuwa mwaka gani.
Nimenunua Mihan Gas mwezi december 2014 kwa 50,000/=