Tunasubiri ya Ntwara, hii ya UAE bado iko juu. Ya Ntwara itauzwa kwa nusu ya hiyo mpya ya kwako labda mafisadi waingilie! Sasa hivi ni shoka na pori mpaka kieleweke.
Gesi ya Mtwara ni gesi asilia haiwezi kuhifadhiwa kwenye mitungi kama LPG. Hivi uwezekano wa kufaidi gesi hii ni mdogo . Kawaida kwa matumizi ya nyumbani gesi inasambazwa na bomba hivo wa mjini ndio watafaidi. Endelea kukata miti mkisubiri kanga na kofia za CCM.