Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Birthday imeanza kukiki tangu diamond alivyompost tangu lini mange akatoa kiki kwa zari wewe. Mange anapost na kufuta hajiamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani zari 4.4m followers atoe kiki kwa 2.1m followers haaaaa Zari kiboki
 
Anafuta sio kwa zari tu hata kwenye post za wengine hakai na uchafu kwenye page yake!!

Kick imebuma

Mtani jikaze sio kwa ubayaa...[emoji3][emoji16][emoji2][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji16]!!!
Poleni kwa seloo
Eti anafuta yaani inaonekana ile post imekuuma haaa pussy so goooooood
 
Kudanga kwa akili mjini hapa. Sio unazaa na matajiri halafu naadae unapitisha bakuli la michango [emoji23][emoji23][emoji4][emoji4]
Tax collectors haaa sahv Pugi anatia huruma eti anataka mzungu au babu wa45yrs
 
Naenda kunyonyesha bye😀😀
Nakuachia homework, umri wa hamisa ni mara mbili ya umri wa zari, umri wa Raynavero na zari tofauti ni miaka minne, tafuta umri wao

Hahaha, dah.

Hesabu za umri hata maticha walikuwa hawataki kuziona, nakumbuka mwalimu wetu alikuwa anasema mpelekee hesabu zote kasoro za umri.

Utasikia, sasa sisi tumemzaa mpaka tujue umri wake?
 
Huyu dada sijui ndo pepo la umaskini au la Ngono linamsumbua, juzi tu domo kakudhalilisha hadharani kuwa unamroga hakutaki, halafu unahojiwa kwenye media kama upo tayari kuzaa na diamond unasema inategemea, hivi wewe zimo kweli kichwani? , Tatizo ni elimu , umaskini au una pepo la ngono
 
Hao ni wazazi hata wakiongeza watoto watano wee kinachokuuma ni nini
 
hivi kilimshindwa nini hata kusema NO ya kinafki!!yani na kigugumizi juu...ila celebrities waendelee hivyo hvyo mana ndo wanatupunguzia stress ya kitaa.
 
We hujui kuwa Domo ana pesa na Mwanamke kama yule unadhani anafuata nini kwake zaidi ya pesa?
Kalaghabao utaishia hivyo hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…