Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

Yaaaan mi nacheka hapa mpaka machozi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mabest zangu imebidi wakae wameniangalia na kunishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani team hizi zitatutoa macho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo hana kick ya bday aliwaita wanakamati uchafuu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji3][emoji3]wamchunia Leo!!anawashiwa na waganda wenzie tuuu!!na page za umbeaaa haaaa....
 
Hahaaa...mi mpk univuruge umenigusa Mimi ila eti umguse Zari,sijui Missa huo muda sinaga..kuna wengine huku nahis wanalipwa maana wanatake serious na mitusi juu!!
Hapo sawa, haya mambo hayatikiwi kuwa serious.

Iwe kama kuchangamsha genge.

Naona Sepenga duka la watoto lipo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] anarudi na mzigo ...this time kaamua ingawa kachelewa
 
Keshaamka kapost picha ya Zari ambayo katoka vibaya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niende[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo sawa, haya mambo hayatikiwi kuwa serious.

Iwe kama kuchangamsha genge.

Naona Sepenga duka la watoto lipo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] anarudi na mzigo ...this time kaamua ingawa kachelewa
Wengine shoga wanapaniki na mitusi juu

Wema afadhali auze atulie tu!maana Wema ni brand inayojiuza yenyewe..

Mimi namtaka Wema huyu wa duka,asiyepelekeshwa na wanaume na asiye na chuki
 
Hapo sawa, haya mambo hayatikiwi kuwa serious.

Iwe kama kuchangamsha genge.

Naona Sepenga duka la watoto lipo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] anarudi na mzigo ...this time kaamua ingawa kachelewa
Anafungua duka?
 
Anayefanya personal attack sasa huyo ana mengine[emoji21] [emoji21]...

This gossip based on targeted folks ( misa n zari)
Mbona wapo sana akiona anashindwa basi anakuattach wewe mgombane kuna watu wanakua km wanatafuta sababu vile...

Mi hua nabase kwa tukinao tu uzee wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…