Shoga naona aibu mimi....maana nimekusaliti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha vituko wewe kua na amani tu vingine vidogo sanaaShoga naona aibu mimi....maana nimekusaliti[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwahi kuwa beki 3
Huyu anampenda Diamond mpaka anakuwa fwalaaaaa halafu anasema Chibu hajielewi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 873774View attachment 873775
Diamond angekua hajielewi ungemuhangaikia kwa mganga, sema we ndo hakuelewi.
Muulize yeyeWapi!
Ana miaka 23...na amekuwa kwenye mahusiano na Mondi kwa mika 10! 23 - 10 = 13 😳😳
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha vituko wewe kua na amani tu vingine vidogo sanaa
Halafu anasema diamond hajielewi kumbe wote sawa.Huyu binti nimesikiliza interview yake akiulizwa kuhusu Mond anacheka cheka tu. Ni mpuuzi kabisa hajielewi
Kama kuna hadi page 19,,bila mshahara?? Lazima kuna mshahara tu..Kumbe kuna mashindano?? Washindi wanapata kitita au safari ya kwenda sauzi afrika?
Nimefuatilia comments zote,,,mpaka dakika hii team zari 10 team hamisa 1.
Team hamisa ongezeni bidii ingawa mko wawili tu,
AHSANTENI
Huyu binti nimesikiliza interview yake akiulizwa kuhusu Mond anacheka cheka tu. Ni mpuuzi kabisa hajielewi
Nilichogungua kingine ni hamisa hapendwi si na wanawake tu hadi wanaume😅😅😅Na uzuri team zari hawatumii nguvu au kujibu kila mtu ni pigo moja tu pwaaa vinaibuka vitetezi vya kila aina maneno meeengiii hadi huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23]Chezea kukunwa weuwee na hapo ana mpango wa kuitegesha nyingine
Halafu anasema diamond hajielewi kumbe wote sawa.
Umedai hamisa ana umri wa miak 23 na amekuwa na nassibu kwa zaidi ya miaka kumi.Wiki kadhaa zimepita hamisa alikua na skendo ya kwenda kwa mganga, habari ikiwa ni kumloga mama dangote ili ampende na pia mzazi mwenzie wa pili diamond platinum ili amuoe na ampe nyumba kwani wamekua katika uhusiano muda mrefu sana yapata miaka kumi, lakini jamaa haoneshi dalili yoyote bali amekua kama menstrual cycle anaenda na kurudi anaenda na kurudi.
Mrembo huyo kwenye miaka 23 kwa sasa, ameonekana kuchoka kuchomeshwa mahindi miaka 10 yote (maana hiyo alikua na diamond akiwa na miaka 13).
Katika interview aliyofanya leo amekiri ile voice note ni yeye kweli ila alikua anaongea na sheikh kwa ajili ya dua (sheikh anaagiza kondoo kwa ajili ya dua koh koh), pamoja na hilo hamisa amefunguka kunusurika kichapo kutoka kwa mama diamond ambapo alifanikiwa kuchoropoka mama akabaki na wigi mkononi.
Numbisa utasaidia kuattach interview
View attachment 873771
Nilichogungua kingine ni hamisa hapendwi si na wanawake tu hadi wanaume😅😅😅
Umedai hamisa ana umri wa miak 23 na amekuwa na nassibu kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa hiyo nasibu alianza kumchanua huyu binti akiwa na miaka 13? Wakati huo huyu binti alikuwa std gani?